simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar es Salaam: Tutembee mitaani … karibu

leave a comment »

Makutano ya Barabara za Ali Hassan Mwinyi na Bibi Titi Mohammed. Hivi, ni lazima kabisa kabisa tujenge majengo marefu marefu … Hii ‘concretesization’ … du … naona tunaelekea kupoteza ukijani ambao hutawala anga la Dar.

Afadhali hili … Barabara ya Ali Hassan Mwinyi … Oyster Bay …

Tarehe 8 Machi ni Siku ya Wanawake Ulimwenguni. Tuwaenzi. Wao hujitoa sadaka sana ili sisi tupate neema. Wao ni kama mshumaa unaoungua na kumalizika ili sisi tupate mwanga. Ingawa kuna akina mama ambao mmmh … ni wakatili kwelikweli. Fikiria wale wanaotupa watoto wao. Fikiria wale wanaodiriki hata ‘kuwawekea sumu waume zao’ ili wao wabaki na mali waliyochuma pamoja. Dunia yetu inazidi kuwa na mkanganyiko wa aina yake. Hapa ni Daraja la Ubungo. Daraja hili ‘jipya’ linaunganisha Mwenge/Chuo Kikuu cha DSM na Ubungo.

Haya. Maduka yanayohamishika. Mchana bidhaa zinaletwa. Usiku zinaondolewa. Tazama hapo kushoto. Ni Daraja la Ubungo-Mwenge.

Tupo pamoja. Samahani kwa ukimya wa zaidi ya wiki. Misukosuko ya macho. Sasa niko fiti.

Advertisements

Written by simbadeo

March 6, 2012 at 11:32 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: