simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Soccer … Mastaa wa kipute cha mchangani

with 2 comments

Kipute kikali … kwa raha zetu

Hapiti mtu hapa … acha mpira uende lakini wewe unabaki hapa …

Mpira umenoga … imagine kama kiwanja kingekuwa safi, gozi lenyewe lingekuwa original, kungekuwa na sare kamili, watazamaji kibao … hapo soka lingenoga zaidi sana … au siyo msomaji.

Mpiga picha: Kwa nini mnacheza hapa chini ya nyaya hizi za umeme, si hatari kwenu?
Watoto: Hakuna viwanja vya kuchezea, sasa sisi tufanyeje na tunataka burudani?

Haya. Jamii. Nchi. Serikali. Viongozi wa mitaa. Viongozi wakuluwakulu. Vilabu vya michezo. Sote tuna wajibu wa kuwapa watoto mazingira mazuri ya kucheza, kuendeleza vipawa vyao, kuburudika na kukua kiukamilifu.

Advertisements

Written by simbadeo

February 23, 2012 at 10:09 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Leo unawaona hivyo kesho watakuwa wakubwa (mastaa) karibu maisha na mafanikio pia!!

  Like

  yasinta/kapulya

  February 23, 2012 at 10:49 am

 2. Naam, na wana haki ya kudai kupata maandalizi bora kutoka kwetu. Ama kwa hakika, binafsi niliburudika sana kuwatazama wakicheza, na ilinikumbusha mbali … enzi zileeeeee …. walau sisi tulikuwa na maeneo mengi zaidi ya kucheza. Siku hizi kila mahali kuna majengo na biashara, watoto hawana hata sehemu kutosha kufanya harakati zao. Tunawajibika sote kila mmoja kwa namna yake. Tunaonyamazia hali hii na wale tunaowapora vijana maeneo yao.

  Like

  Deo Simba

  February 23, 2012 at 12:11 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: