simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Free Razan … Free freedom Syria

leave a comment »

BEFORE HER ARREST, RAZAN TOLD HER FRIENDS: “IF ANYTHING HAPPENS TO ME, KNOW THAT THE REGIME DOES NOT FEAR THE PRISONERS BUT RATHER THOSE OF YOU WHO DON’T FORGET THEM”.

KABLA YA KUTIWA KWAKE MBARONI, RAZAN ALIWAAMBIA RAFIKI ZAKE: “KAMA KUNA LOLOTE LITAKALONIPATA, BASI MKAE MKIJUA KWAMBA UTAWALA HUU DHALIMU HUWAHOFII WAFUNGWA BALI WALE MIONGONI MWENU WASIOWASAHAU WAFUNGWA HAO”.

KWA MANENO MENGINE, YEYOTE KATI YETU ANAYEONA HAKI IKIKANDAMIZWA NA KISHA AKAKAA KIMYA, ANA HATIA SAWASAWA KABISA NA YULE ANAYEKANDAMIZA HAKI HIYO. TUSIMAME NA KUKEMEA KWA NGUVU ZETU ZOTE UDHALIMU UNAOFANYWA NA UTAWALA WA SYRIA DHIDI YA RAIA WASIO NA HATIA. TUKEMEE KWA NGUVU ZETU ZOTE NAMNA UTAWALA HUO UNAVYOTUMIA MABAVU ILI KUNYAMAZISHA WATETEZI WA UHURU WA KUJIELEZA, UHURU WA KUPATA HABARI, UHURU WA KUPASHANA HABARI.

TUMKUMBUKE DADA HUYU, MTETEZI WA UHURU WA KUJIELEZA ALIYETIWA MBARONI NA UTAWALA WA SYRIA KWA MARA NYINGINE TENA. TUNA WAJIBU HUO KAMA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU, WATU TUNAOTAKA KUONA KWAMBA UHURU WA KUJIELEZA NA KUJIPATIA TAARIFA UNAHESHIMIWA NA KUENZIWA NA WATAWALA WOTE ULIMWENGUNI, WAKUBWA KWA WADOGO.

Advertisements

Written by simbadeo

February 19, 2012 at 12:10 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: