simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Colour … rangi na uzuri wake

with 2 comments

Nimependa mchanganyiko huo wa rangi … kwa kutazama tu lakini. Mimi kuvaa … hapana. Ila ni ubunifu maridhawa. Nani anaweza kunisaidia iwapo hizo ni rangi za taifa fulani au ni kwamba imetokea tu mbunifu akabuni namna hiyo? Tuendelee kuwepo.

Advertisements

Written by simbadeo

January 26, 2012 at 11:45 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Sio peke yako kaka Sam kwa kweli kuangalia tu unapata furaha fulani. Nafukiri ni Jamaica ndio rangi zake halafu na zangu pia kwani hapa nilipo nina hii tamaduni ya kuvaa shingoni na mkononi na rangi hizo:-) nitaichukua picha hii kwani nieipenda sana.

  Like

  Yasinta

  January 27, 2012 at 5:37 pm

 2. Ooh Da Yasinta, asante kwa kuungana nami kupenda rangi hizo. Nimefurahi kujifunza kwamba ni rangi za Taifa la Jamaica. Safi sana. Aaah, nimefurahi sana kuona picha ya mtoto anayesoma kitabu katika ukurasa wako. Asante sana. Nitamfikishia salamu zako.

  Like

  Deogratias Simba

  January 28, 2012 at 12:04 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: