simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Africa … siri ya kuondokana na ‘utegemezi’

with 3 comments

Tukijitosheleza kwa shibe … maendeleo mengine yatafuata. Ni muhimu tuhakikishe tunazalisha chakula cha kutosha na hata kuwa na ziada. Siku hizi nimekuwa nikisikia msemo huu: Adui yako, mwombee njaa. Nadhani kuna hekima kubwa nyuma yake, kwani tunaweza kuugeuza msemo huo na kusema ‘Tujiletee fanaka ili kuwa na fanaka zaidi’. Chakula. Kilimo kwanza. Kilimo cha kufa na kupona. Kilimo ni uti wa mgongo. Sasa MANENO pembeni na tufanye KAZI!

Advertisements

Written by simbadeo

January 15, 2012 at 12:04 pm

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Duh! kaka Sama umenikumbusha kweli nyumbani…kuona haya mahindi nimejikuta nipo nyumbani kwa kweli nyumbani ni nyumbani..halafu ….

  Like

  yasinta/kapulya

  January 15, 2012 at 2:33 pm

 2. Halafu, huwezi amini kwamba hapo ni Dar es Salaam. Sasa hebu piga picha lile hindi la kule Songea litakuwa katika hali gani … Kilimo … kimetutoa mbali hata kama wengi wetu tuna kawaida ya kukipiga kumbo …

  Like

  Deogratias Simba

  January 15, 2012 at 10:46 pm

 3. As a Newbie, I am continuously exploring online for articles that can aid me. Thank you

  Like

  pozycjonowanie

  January 22, 2012 at 12:42 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: