simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Crunch time … family support

leave a comment »

Wakati ambapo kuna waliouanza mwaka huu kwa style hii ya kupata maji yale ya rangi ya dhahabu au yale yaliyo ‘colourless’ …

… wapo pia waliounza namna hii … ni saa nne za usiku … wanarejea majumbani kwao kutoka mihangaikoni. Usafiri wa umma unaashiria watu walio nguzo ya kaya nyingi maeneo ya mijini … na kama kilimo ni uti wa mgongo, basi watu hawa … wafanyakazi kwa wafanyabiashara ni shingo ya uchumi wa Taifa hili … ipo haja ya kukuza ubora wa vyombo wanavyotumia kwa usafiri … kwa usalama wao, kwa usalama wa kaya zao, kwa usalama wa Taifa letu …

Advertisements

Written by simbadeo

January 3, 2012 at 12:09 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: