simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Unatafuta mbwa? … Nenda hapa

with one comment

Maisha ubunifu. Biashara hii inazidi kushika kasi jijini Dar es Salaam. Hapa ni eneo la Victoria. Kwa wastani was shilingi 50,000 waweza kujipatia mbwa. Na vijana hawa wanawaleta hasa kutoka mkoani Iringa.

Mbwa ni mnyama rafiki wa binadamu. Unaweza kumtumia kama pambo. Unaweza kumtumia kama mlinzi wako. Unaweza kumtumia katika uzalishaji mali, hususani shughuli za uwindaji. Hata hivyo, ili aweze kukusaidia wewe kufikia malengo yako, huna budi kumpa matunzo yanayostahili. Usipofanya hivyo, utamchukia, maana atageuka kuwa ghasia kwako na kwa wengine.

Haya vijana … msisubiri tu kuajiriwa … ubunifu … Ukiwa mbunifu, biashara zipo nyingi hapa mjini. Nyingine hazihitaji mtaji mkubwa sana.

Haya, hebu tuendelee kuhesabu saa. Bado saa kumi na tano kabla hatujaingia mwaka mwingine. Amina.

Advertisements

Written by simbadeo

December 31, 2011 at 9:21 am

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. … [Trackback]…

    […] Informations on that Topic: simbadeo.wordpress.com/2011/12/31/unatafuta-mbwa-nenda-hapa/ […]…

    Like

    My Homepage

    January 24, 2012 at 12:51 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: