simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Relax … happy birthday Tina Bahati

with 2 comments

Tina Bahati (left) turns four today. Cecy, her sister, enjoys the moment with her. Heri ya sikukuu yako ya kuzaliwa, Tina Bahati, ifurahie … Pambana na ulimwengu, kua, kiakili, kimwili na kiroho. Ukue ukiwa mcha Mungu, unayejali utu na kuweka mbele utu. Utafute kuwafanyia watu mambo mema yanaweza tu kufanywa na watu wenye kutafuta uwema. Amina.

Advertisements

Written by simbadeo

December 28, 2011 at 11:38 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. HONGERA SANA KWA SIKU YA KUZALIWA KWAKO SANGAZI TINA BAHATI…Nimelipenda sana jina lako:-) Nakutakia makuzi mema na pia nakutakia kila kitu utakachokifanya kiwe chema. Uwe binti msikivu/mtii najua ni mtii na msikivu lakini ongeza. Na pia Mwenyezi mungu wape nguvu wazazi ili wawezi kumlea binti Tina Bahati na pia watoto wengine walionao. HONGERA.

  Like

  Yasinta

  December 29, 2011 at 12:35 am

 2. Oooh Da Yasinta, asante sana kwa salamu na ujumbe mzito. Nitamfikishia salamu hizo Tina Bahati. Tina anao ndugu zake,nao ni Cecilia (9) na Martin (12). Asante sana.

  Like

  Deogratias Simba

  December 29, 2011 at 10:30 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: