simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Juhudi … Mongo la Ndege Wajikwamua

leave a comment »

Hivi ndivyo barabara inayounganisha Mtaa wa Mongo la Ndege na Barabara ya Kinyerezi ilivyokuwa imeharibiwa na mafuriko ya hivi karibuni.

Wakazi wa Mtaa wa Mongo la Ndege … baada ya kuwa kisiwani kwa takribani siku nne, huku eneo likiwa halifikiki kwa gari kutokana na kukatika kwa barabara, pamoja na kukosa umeme … waliamua kuchangishana ili walau kufanya eneo lao lifikike

Hivi ndivyo juhudi zao zilivyofanya. Barabara imeweza kupitika … japo kwa shida kidogo. Hivi mvua zilizotabiriwa kunyesha tena kuanzia leo … zinaleta mashaka ya kufanya eneo hili la Mongo la Ndege kuwa kisiwa … Pengine serikali nayo itie nguvu katika juhudi ya wananchi. Wameonyesha kile ambacho Watanzania hatuna budi kukifanya kila mara … Badala ya kusubiri Serikali … sisi wenyewe tuanze kufanya kitu fulani … au siyo?

Advertisements

Written by simbadeo

December 27, 2011 at 11:45 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: