simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mafuriko Dar … Matumbi Darajani Desemba 21

with 3 comments

Inasemekana mifugo hawa waliletwa na maji ya mafuriko na kukwama katika kingo za daraja la Matumbi kabla ya kuokolewa.

Kutokea Buruguni Ghana …

Container … lilitoka wapi?

Mengine … oil/mafuta yalimwagika na kufanya uchafuzi wa mazingira …

Mwanahabari (wa ITV) kazini … katikati ya maji yenye nguvu na misukosuko mingi

Mtu alipoweza kubeba kilicho chake … alifanya hivyo

Si matukio yote huwa na athari mbaya kwa kila mtu … Kuna waliojipatia ajira hapa … kuvushwa iligharimu kati ya sh 1,000 na 1,500. Lakini hakukuwa na bima endapo ajali ya kuanguka ingetokea …

Halikuwa jambo jepesi kuyakabili maji yenye nguvu kuu …

Watu waliendelea kuthubutu …

Service Road ilishindwa kuhimili … ilikatika …

Maji yaliyojaa hasira … hapa kina kilipungua kidogo na hivyo yalikuwa yakipita chini ya daraja … lakini kwa kasi na nguvu kubwa ya kutisha …

Takataka … ushahidi kwamba kina cha maji kilivuka daraja …

Wapo waliojitosa kusaka riziki … katika mali iliyokuwa ikielea huko na huko …

Advertisements

Written by simbadeo

December 23, 2011 at 1:11 am

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. nimeishiwa na maneno na nimebaki na hasira..ila nasema tu Mungu wape nguvu watu wetu na pia naomba usiku na mchana mvua hii iishe au itulie.

  Like

  Yasinta

  December 23, 2011 at 2:28 am

  • naamin mungu anawasaidia kwa mali walizo potea
   tusaidiane kuwa ombea

   Like

   joseph

   April 22, 2014 at 3:59 pm

 2. … [Trackback]…

  […] Read More here: simbadeo.wordpress.com/2011/12/23/mafuriko-dar-matumbi-darajani-desemba-21/ […]…

  Like

  My Homepage

  December 27, 2011 at 5:53 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: