simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mafuriko Dar … maji hukimbia watu?

with 9 comments

Kati ya Matumbi na Buguruni … kazi ya Mto Msimbazi

Barabara inayounganisha ile ya Kinyerezi na Mtaa wa Mongo la Ndege … yakatika …

Barabara ya Mongo la Ndege yakatika … nyaya za umeme chini

Mto Msimbazi … uko kazini

Daraja la Kinyerezi … hatarini … ni daraja muhimu kwa maelfu ya wakazi wa sehemu hii ya Dar es Salaam.

Hasira ya maji …

Mto unaendelea na safari yake … kuelekea Dar es Salaam

Msimbazi … katikati ya Buguruni na Matumbi

Hasira za maji

Itaendelea …..

Advertisements

Written by simbadeo

December 21, 2011 at 11:56 pm

Posted in Siasa na jamii

9 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kaka Simba,
  Asante kwa taarifa kwa njia ya picha.
  Pole kwa wote waliofikwa na msiba na walioathiriwa kwa mafuriko haya.

  Like

  Subi

  December 22, 2011 at 3:12 am

 2. TUNAWAPA POLE WOTE WALIOKUTWA NA MAFURIKO MUNGU AWASAIDIE

  Like

  SWILLA

  December 22, 2011 at 10:11 am

 3. poleni sana kwa mafuriko njama zangu

  Like

  dedan gospel

  December 22, 2011 at 10:51 am

 4. poleni sana ndugu na rafiki

  Like

  dedan gospel

  December 22, 2011 at 10:52 am

 5. Kwa niaba ya wakazi wa Dar es Salaam nasema asante kwa pole mnazotupa. Tumepatwa na masaibu makubwa. Lakini naamini tutavuka kipindi hiki kigumu. Nadhani ipo haja kwa serikali na jamii kwa ujumla kujifunza kutokana na matukio haya ya asili. Kuna madhara mengi ambayo kwa namna moja au nyingine yangeepukika … lakini kwa sababu ya vichwa vyetu vigumu … madhara ndiyo kama tunavyoyaona.

  Tupo pamoja na fursa ikiruhusu … nitawaletea zaidi … maana hata umeme nao ni wa mashaka.

  Like

  mauaalumni

  December 22, 2011 at 11:09 am

 6. Hii ndiyo halisi ya uwezo wa miundo mbinu ya Dar es salaam kuhimili mikikimikiki ya mvua.
  Mto Msimbazi umetangaza wazi kuwa makazi yake yameingiliwa na sasa uachwe upumue.
  Kwa waliopatwa na misiba poleni sana.

  Like

  Ray E.Njau

  December 22, 2011 at 1:29 pm

 7. poleni sana ndugu na jamaa zetu hasa wale waliopatwa na misiba.
  Mwenyezi Mungu awatangulie. nasi tunawaombea hali hiyo iishe.

  Like

  glory

  December 22, 2011 at 2:33 pm

 8. Hata la kusema au maelezo yamepotea katika akili yangu ila tu nachotaka kusema pole sana kwa wote waliopatwa na janga hili. Najiuliza sijui serikali ilijiandaaje katika hili?

  Like

  yasinta/kapulya

  December 22, 2011 at 3:34 pm

  • Kwa kweli hali inatisha sana. Lakini japo hatuna mifereji na mitaro bado tuna vitu vingi vya kujivunia kama vile Rada, Twin towers,Jengo kubwa la bunge Dodoma na utitiri wa wabunge, tumewekeza kwenye makampuni makubwa kama vile Richmond, Meremeta, Deep green.

   Like

   Paul

   December 22, 2011 at 10:58 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: