simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Happy season … Heri ya msimu huu

with 2 comments

Beautiful season … beautiful world … mother earth.

Wiki moja tu imebaki ili kufikia Krismas ya mwaka 2011. Ni muda mfupi. Ni muda mrefu. Kikubwa ni kwamba mimi na wa uzao wangu tunawatakieni marafiki, jamaa, wenzetu na wengine wote heri ya msimu huu. Tunawatakia nyote heri, fanaka na baraka ili muumalize mwaka kwa amani, upendo na mafanikio. Ninaamini kwamba mnapopata fursa ya kujitafakari na kujipima, basi mafanikio ni makubwa zaidi kuliko maanguko. Kama umekuwa na kipindi cha misukosuko katika mwaka huu, usijali sana, hukuwa peke yako. Fikiria mataifa makubwa ya Ulaya yalivyokuwa yakihangaika katika mwaka huu. Weka matumaini mapya unapofunga mwaka huu na uyaendeleze unapofungua mwaka mpya wa 2012. Tumia misukosuko hiyo kujiimarisha kiujasiri, kimbinu, kifikra, kihekima na hata kiroho.

Ningependa kuwashirikisha furaha ndogo ya familia yangu. Miaka miwili nyuma tuliamua kuwa wakulima. Sisi ni familia ya wakulima. Tulipanda miti ya matunda kidogo. Sasa mwaka huu tumepata uzao wa kwanza. Picha hiyo ya pili inaonyesha uzao huo wa kwanza. Kumbe, Krismas hii mezani tutakuwa na matunda yanayotokana na kazi ya mikono yetu. Hebu tufurahie uzao huo … japo kwa macho. Karibuni.

Heri tele … amani … upendo … uvumilivu na kuheshimiana kama binadamu.

Advertisements

Written by simbadeo

December 18, 2011 at 10:55 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Thanks for wishing all a Merry x-mass and Happy new year. We also here in Hunters wish you and your family all the best as you celebrate x-mas and the new year.

  Like

  wacuka44

  December 19, 2011 at 7:55 pm

 2. Thanks Wacuka and boys … Thanks for the first X-mas greeting this year. Merry Christmas and Happy New Year 2012 to you too.

  Like

  Deo Simba

  December 20, 2011 at 11:45 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: