simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Maisha … yanasonga mbele

with one comment

Vijana na harakati za kujitafutia riziki. Biashara hizi hushamiri sana nyakati za usiku. Kuku. Chipsi. Mishikaki. Ndizi. Mayai. Ama kweli ‘tunasonga mbele’ kila mmoja kivyake. Hii ni hata kama sauti yetu kama nchi katika jamii ya kimataifa imebaki kuwa kiduchu. Haijalishi sana. Kikubwa ni kuwa maisha yanaendelea. Siku njema.

Advertisements

Written by simbadeo

December 11, 2011 at 7:04 am

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Mmmmhh! sijui kama tunasonga mbele au ndo mradi kusonga mbele?

    Like

    Yasinta

    December 11, 2011 at 10:00 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: