simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Uhuru Day … tumethubutu

with 2 comments

Tunaelekea mwaka wa 50 na siku moja tangu tupate uhuru (wa bendera). Naona kasi ya usawa wa kijinsia iko juu. Sasa tuna machinga, siyo wanaume tu bali hata wanawake. Tumethubutu!

Advertisements

Written by simbadeo

December 9, 2011 at 11:02 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. na vitenge vishatoka …sijui nitavipataje?

  Like

  Yasinta

  December 11, 2011 at 9:50 am

 2. Da Yasinta, vitenge na khanga zilizotoka. Bei, kwa jinsi nilivyosikia, ilikuwa sh. 12,000 kwa sh. 9,000. Sasa sijui nani alikuwa nyuma ya biashara hiyo. Labda ilikuwa ni wajasiriamali fulani. All in all, shughuli hizi nazo huwa na umuhimu wake kiuchumi. Fedha imezunguka sana kipindi hiki!

  Ikiwa una ndugu au jamaa Dar es Salaam, naamini wanaweza kukutafutia na kisha kukutumia. Wasiliano nao. Itakuwa kumbukumbu nzuri … nzuri sana.

  Like

  Deo Simba

  December 11, 2011 at 2:26 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: