simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mvua Dar … kizaazaa

with 2 comments

Wengi walijiuliza kama wangeza kutoka maofisini mwao kwa jinsi hali ilivyokuwa.

Haya … zile takataka ambazo watu hutupa ovyo hata kwenye mifereji ya kusomba maji ya mvua … matokeo yake ndiyo haya. Hapa ni kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere pale Tazara. Paligeuka bahari hiyo jana. Kwenye barabara ya Mandela (sijui kama imeshakabidhiwa kwa Mh Magufuli) nilishuhudia mifereji iliyo kandokando ya barabara ikiwa inamomonyolewa na maji ya mvua. Taratibu barabara ya pembeni (service road) ilikuwa imeanza kuliwa. Kwa kumbukumbu zangu, barabara hii imekuwa kwenye ujenzi tangu miaka miwili nyuma. Hatua za haraka zisipochukuliwa na mkandarasi kujenga kingo za mifereji, tayari taifa litapata hasara ya kuharibikiwa na barabara hiyo. Samahani, sikupata picha maana gari lilikuwa kwenye mwendo mkali sana.

Advertisements

Written by simbadeo

December 1, 2011 at 8:58 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kwa ujumla hali ni tete na juhudi za kipekee katika kunusuru miundo mbinu ya usafirishaji ni changa moto ya kitaifa.

  Like

  Ray E.Njau

  December 1, 2011 at 10:06 am

 2. … [Trackback]…

  […] Informations on that Topic: simbadeo.wordpress.com/2011/12/01/mvua-dar-kizaazaa/ […]…

  Like

  My Homepage

  December 18, 2011 at 6:20 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: