simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ajali … kwa nini?

with 2 comments

Kila kukicha unasikia ajali jijini Dar na kwingineko nchini. Kwa nini? Mbona mataifa yaliyoendelea hawana shida kama tulizo nazo sie kuhusu suala la usafiri? Nini kinafanya wao waendeshe vizuri zaidi kuliko sisi? Sipati majibu. Chonde chonde madereva. Tuheshimu maisha ya binadamu kwa kuendesha kwa namna za kistaarabu.

Advertisements

Written by simbadeo

November 30, 2011 at 3:49 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Sababu ni kwamba hakuna sheria ya kwamba wote waoendesha wasinywe pombe. Wanaendesha huku wamekunywa na speed inakuwa kubwa mno kama vile ni mashindano. Sababu nyingine ni kwamba leseni zao wengi si za uhakika hawapitii masoma kiuhakika wengi wanatoa rushwa na kupata tu …Unafikiri hakutakuwa na ajali kweli????

  Like

  yasinta/kapulya

  November 30, 2011 at 6:52 pm

 2. Umenena Da Yasinta. Mimi husema kwamba hakuna njia ya katikati. Mara nyingi huwa tunasikia watu wakisema jambo fulani limetokea ‘kwa bahati mbaya’. Huyu ‘bahati mbaya’ tunamsingizia sana. Kwangu mimi huwa hakuna ‘bahati mbaya’ hata chembe. Kilichopo ni au ‘makusudi’ au ‘uzembe’. Huwa tunatumia ‘bahati mbaya’ ili kukwepa kuwajibika kwa lile tulilolisababisha au kulitenda. Kwa hiyo, hata upande wa ajali ni vivyo hivyo, au dereva anafanya ‘makusudi’ kusababisha ajali ama anafanya ‘uzembe’ na kusababisha ajali. Vyovyote ilivyo, anakuwa na ‘kesi’ ya kujibu, anawajibika kwa hilo lililotokea. Nawasilisha.

  Like

  Deo Simba

  December 1, 2011 at 8:35 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: