simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Rukwa na Katavi … umefika

with 3 comments

Teknolojia ya uhunzi. Tanuru lililotumika kufua vyuma.

Kifaa cha kutobolea chuma au kitu kigumu …drill

Majembe ya asili …

Mzinga …

Mitego ya kuvulia samaki …

Dawa …

… za kila aina

Burudani …

Kimpumu … kinywaji kilichosheheni lishe …

Vyakula … ulezi … mtama … mihogo

Mahindi ya asili … ambayo huchukua muda mrefu sana kabla hayajapecha …

… mambo hayo kutoka Rukwa na Katavi …

Baadhi ya waliokuwepo … wenyeji kwa wageni …

Mambo yaliponoga …

Friji ya asili … maji baridiiiiii

Kitambaa kilichotokana na magome … kwa ajili ya kufunika sehemu nyeti tu … Nani kasema kuvaa nguo ndefu ndiyo utamaduni wetu Afrika?

Kibuyu hiki kilitumika kuhifadhi chakula … na kilitunza joto la chakula hata kwa wiki nzima … hot pot

Huwezi kuzungumzia Mkoa wa Katavi pasipo kutaja Hifadhi ya Taifa ya Katavi … iliyo ya tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, yenye ukubwa wa zaidi ya kilometa za mraba 4000, iliyo takribani kilometa 40 kusini mwa mji wa Mpanda, iliyo na viboko wengi kuliko mbuga yoyote duniani, iliyo na maumbile ya asili pasipo miingiliano mikubwa na binadamu kulinganisha na mbuga yoyote Tanzania. Pichani ni Nd Simon Mwakyembe akitoa maelezo kwa mmoja wa mashuhuda wa tukio.

Waliendelea kumiminika …

Mapumziko …

Biashara … murua

Colourful …

Vifaa … muhimu

Alikuwepo …

Mapambo … meza kuu

Maelezo kwa wageni …

Tumalizie na Bi Mkubwa Zenebia Shambala wa kutoka Namanyere, Nkasi mkoani Rukwa. Picha ni nyingi, lakini hizi zitoshe kuwaonjesha yale niliyoona kwa muda wa saa moja jana Jumamosi tarehe 26 Novemba 2011 pale Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam. Dukuduku langu, nilitoe hapahapa: Pamoja na ukweli kwamba tukio zima lilipata udhamini wa Vodacom na NMB Banks, ambapo ninashukuru sana kwa udhamini huo, lakini kitendo cha kuwavisha mavazi yaliyo alama ya biashara ya makampuni hayo, nafikiri kilizidi mno. Ingetosha kabisa kuwa na mabango ya makampuni yanayodhamini, pembeni mwa maeneo ya maonyesho ili wanaohusika wavae mavazi ya kiutamaduni. Haya ni maonyesho ya utamaduni. Commercialisation iwe na mipaka. Pongezi kwa WanaRukwa na WanaKatavi kwa mafanikio m

Advertisements

Written by simbadeo

November 27, 2011 at 1:34 am

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. bahati mbaya sasa tamaduni hii inapotea na kila mtu anajifanya hajui kitu…inasikitisha kwa kweli kwani ilibidi vizazi vijavyo vijue hivyo…

  Like

  yasinta/kapulya

  November 28, 2011 at 1:18 pm

 2. Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili!

  Like

  Ray E.Njau

  November 28, 2011 at 5:54 pm

 3. Nasi tunapoteza mila, desturi na utamaduni wetu kwa kasi kubwa sana. Ole wetu.

  Like

  Deo Simba

  November 28, 2011 at 11:46 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: