simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Papo kwa papo … student meets with teacher

with 4 comments

Kituo cha daladala pembezoni mwa Dar. Commuter bus stage on the outskirts of Dar.

Madimbwi barabarani kutokana na mvua zinazomiminika hivi sasa Dar. Huu ni moja ya mtaa katika eneo la Sharrif Shamba, Ilala. Hivi, ni gharama kubwa sana kujenga mitaro ya kupitishia maji ya mvua? Kwa mfano kutoka mtaa huu hadi lilipo bonde la Msimbazi ni chini ya kilometa moja … hata vingunge wanaoishi mitaa hii wameshindwa kujipanga na kujenga mitaro ili kupunguza kero hii ya maji barabarani … Mpaka serikali ije itufanyie kila kitu …

Ilikuwa mkutano wa ghafla. Lakini wenye furaha tele. Nilikutana na mwalimu wangu. Alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliyopita. Ndugu (Fr) Egfrid Tonz OFMCap. Ilikuwa jana Jumamosi, pale San Damiano, Msimbazi Mission. Sina hakika kama Tanzania imepata kuwa na mwalimu makini wa somo la Biology zaidi ya alivyokuwa Mwalimu Egfrid. Wala si kwa kutia chumvi. Wale waliopata kupita darasani kwake pale Maua Seminary watakubaliana nami, bila shaka. Kama kuna anayebisha, basi anyanyue mkono nimwone. Pamoja na kuwa na umri zaidi ya miaka 80, bado yuko imara na madhubuti.

Advertisements

Written by simbadeo

November 20, 2011 at 11:58 pm

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kaazi kwelikweli hapo. Du ulikuwa na bahati kuonana na mwalimu wako maana kuonana na mwalimu au tu mtu uliyesoma naye ni kasheshe kweli.

  Like

  Yasinta

  November 21, 2011 at 1:22 am

 2. Da Yasinta. Kama unavyoona, mpaka jino la sikukuu limeonekana.

  Like

  Deo Simba

  November 21, 2011 at 10:31 am

 3. Ha ha ha haaaaa! mweeh watu jamani wanajua kuchekesha eti jina la sikukuu..sikujua kama kuna meno ya anina tofauti..:-) Je hiyo picha mliupiga lini?

  Like

  yasinta/kapulya

  November 21, 2011 at 5:47 pm

  • Hee, Da Yasinta huna habari … kuna meno ambayo huonekana nyakati za siku kuu tu. Hiyo ilipigwa Jumamosi ya juzi … 19 November 2011. Thanks.

   Like

   Deo Simba

   November 21, 2011 at 7:40 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: