simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

11 – 11 – 11 … today is

with 2 comments

Karibuni chai … nyumbani

Marafiki: Richie Mloka, Boniface Mapunda na Francis Makori …

Kazi ya sanaa … ubunifu … yapendeza … au siyo?

Leo ni tarehe tamu sana. Niwatakie kila la kheri wale wote wataozaliwa leo. Hebu cheki hizo 11/11/11 zilivyojipanga. Safi sana.

Advertisements

Written by simbadeo

November 11, 2011 at 1:07 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. kUMBE HUKO TAYARI NI TAREHE 11/11/11 HAPA BADO KIDUCHU….Kaka S hiyo chai ni bila sukaria au na sukari?

  Like

  Yasinta

  November 11, 2011 at 1:19 am

 2. Ndio Da Yasinta. Chai hiyo sharti lake moja … kila mmoja aje na sukari yake … maana si unajua sukari inazidi kuadimika hapa Bongo … hadi kufika mwezi wa tatu mwakani sijui hali itakuwaje … tuombe Mungu.. Otherwise, siku ilikuwa njema sana leo.

  Like

  Deo Simba

  November 11, 2011 at 11:21 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: