simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Loliondo … kwa?

with 2 comments

… kumbe zile safari za kwenda KWA BABU bado zipo … Juu ni usafiri kutokea Nairobi, Kenya. Nauli ni Kshs. 3,000 tu, yaani sawa na Tshs. 50,000. Naona siku hizi safari za kwenda kule zimepungua sana umaarufu. Pengine huu ndiyo wakati wa kutafuta takwimu za mafanikio kwa upande wa waliotumia ‘kikombe’. Wenye data watujuvye jamani …

Advertisements

Written by simbadeo

September 12, 2011 at 10:03 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Hata mimi nilijua watu wameanza kujua kwamba hakuna tena kwa babu maana kumekuwa kimya kweli…imani hizi kazi kwelikweli…

  Like

  yasinta

  September 14, 2011 at 12:10 pm

  • Yaah! Kweli ni mtihani … wengine ni kina Tomaso … huamini kwa kuona … Ndiyo maana wengine tunaitisha ushuhuda … wapi ushuhuda?

   Like

   simbadeo

   September 14, 2011 at 9:29 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: