simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kuku wa kienyeji … mtamu!

with 3 comments

… na maharage pia. Jamani GMOs … HAPANA! Hebu turudi kwenye asili … siku hizi maradhi kibao yameibuka … Kisukari … BP … na nini tena sijui … turudi kwenye asili … vyakula vya kienyeji … Mafuta hayo na lehemu … ni balaa. Wanasiasa wasiruhusu GMO … tutunze mazingira ili kuepuka uhaba wa chakula, chakula cha asili, chakula cha kienyeji. Tuseme NDIYO kwa asili yetu.

Advertisements

Written by simbadeo

September 6, 2011 at 10:13 pm

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Hakika hakuna chakula kitamu kama chakula cha asili , yaani ile kuchemsha maji na chumvi nakwambia nimekula safari hii na nahisi nimeweka akiba ya miaka kadhaa. Haya kuku sasa yaani kila tulipokuwa tukienda kusalimie tulitafuna kuku mpaka mwisho ikabidi tukatae.
  Nakubalina nawe watu wengi siku hizi wameacha kula vyakula vyetu vya asili, wanataka vya mafuta mafuta…na hapo ndipo haya magonjwa ya ajabu ajabu yanapozuka….

  Like

  yasinta

  September 6, 2011 at 11:03 pm

 2. Duh, Da Yasinta umenikumbusha mambo ya nyumbani … kila nyumba unayotembelea … ni kuku wa kienyeji na ugali mlima … hata kama kuna baridi … kijasho chembamba hunitoka … Da, jinsi ninavyotamani maisha yale … ni maisha ya kijamaa kwelikweli … Tuyaenzi …

  Like

  Deo Simba

  September 7, 2011 at 12:58 am

 3. Kaka Sam ..wewe nawe huachi visa..kula ugali mpaka josho kweli…:-) nawe umenikumbusha kuhusu maisha ya kijamaa ni ya kijamaa kwelikweli….maana kila ninavyoendelea kuishi huku ndivyoo ninavyoona kweli kuna umuhimu mkubwa haswa wa kuyaenzi maisha yetu ya kijamaa.

  Like

  yasinta

  September 7, 2011 at 5:27 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: