simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Safisha macho … mandhari

with 4 comments

Nyakati zile akili inapokuwa imeungua moto … toka … tembeatembea huku na kule ukishangaa dunia na walimwengu na malimwengu. Kichwa kinawaza na kuwazua … yule nyoka mwenye vichwa vingi amesogeza kichwa chake hadi mlangoni … huo ndio wa kutokea … huo ndio wa kuingilia … nawaza nikikabili vipi kichwa hiki na nyoka huyu … Akili … hebu fikiri haraka … tafuta majibu …

Advertisements

Written by simbadeo

August 24, 2011 at 9:54 pm

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kwa kweli sihitaji maji nishasafisha macho yangu sasa safi kabisa…usegwili mutani:-)

  Like

  yasinta

  August 25, 2011 at 6:05 pm

 2. … unaposafisha macho … unakuta kila mmoja na mzigo wake … Thanks Da Yasinta … mihogo inakuja … naitafuta bado.

  Like

  Deo Simba

  August 26, 2011 at 1:59 am

 3. unaitafuta mihogo? ina maana huna shamba la mihogo..LOL

  Like

  Yasinta

  August 26, 2011 at 3:22 pm

  • Hi, ukame umeunguza mihogo yangu … sasa sina budi kuisaka pengine … ndiyo maana niko huku niliko …

   Like

   simbadeo

   August 26, 2011 at 9:50 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: