simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Nairobi … pembezoni

leave a comment »

Katika Mtaa wa Hunters … Kasarani division …

Kuelekea mtaa mwingine …

Genge mtaani …

Majengo haya … yanapisha njia kwa maghorofa …

Yes U Can …

Sunton …

Kimekutosha mwanangu …?

Mwiki … hakuna haja ya kuvua viatu ili ving’arishwe … juu kwa juu

Vijana wa Kimasai wakiuza dawa mitaani …

Kuna mabadiliko makubwa yanaendelea pembezoni mwa jiji la Nairobi. Ujenzi umeshika kasi. Sasa hivi nguvu inaelekezwa katika ujenzi wa majengo ya ghorofa. Mtindo ni upangishaji wa apartments. Vinginevyo, maisha yanaendelea kama kawaida. Hekaheka … kuuza, kununua, ibada n.k. Kuna mengi ya kujifunza hapa.

Advertisements

Written by simbadeo

August 21, 2011 at 2:00 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: