simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bei hii …

with 2 comments

Fungu la machungwa ni sh. 30 tu … imagine

Fungu la nyanya ni sh. 20 tu … upo?

Duh! Fungu la chungwa hapo ni Sh30. Jamani, ni serikali ya nani Bongo itakayoturejeshea bei hizi? Nini kifanyike ili kuiongezea shilingi yetu thamani? Bei hiyo hapo juu ni kwa shilingi ya Kenya. Sh1 ya Kenya hivi sasa inabadilishwa kwa wastani wa shilingi 18 ya Tanzania. Kwa hiyo, kwa shilingi ya Tanzania fungu hilo la machungwa ungelinunua kwa Sh. 600 (au chini kidogo ya hapo).

Ama kweli bado tuna safari ndefu … ndefu sana … Hawa jamaa miaka 30 iliyopita si shilingi zetu zilikuwa karibu sawa? Nini kilikwenda kombo, lini, wapi, na kirekebishwe vipi?????

Advertisements

Written by simbadeo

August 18, 2011 at 11:10 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Thamani ya TZS itaimarishwa na uwekezaji makini katika mauzo ya nje.

  Like

  Ray E.Njau

  August 22, 2011 at 1:22 pm

  • Hilo ndiyo swali kubwa ndugu Ray … je… ni nani atakayefanya uwekezaji huo makini ili kupandisha thamani ya shilingi yetu? Je, ni serikali ya kiongozi yupi? Maana naona kadiri siku zinavyokwenda ndivyo shilingi yetu inavyozidi kuporomoka na kupoteza thamani. Je, nini maana ya mtiririko huu wa mambo? Kwanza, kwa nini tufike hapa tulipofika? Na uwekezaji makini utafanyika vipi kama vijana wetu maelfu kwa maelfu wanakimbilia mjini wanakokwenda kuchuuza bidhaa za bei nafuu za Wachina? Wakati ambapo viwanda vya uzalishaji vinateseka kwa kukosa umeme na menejimenti bora? Wakati ambapo wachache wanofanya bidii ya kujiajiri … kwa kuanzisha biashara ndogondogo zinazohitaji umeme … ndiyo unakuta mara nyingine umeme unakatwa kwa saa 72 au zaidi? Maswali ni mengi … hayana kikomo … lakini niishie hapo … wenzetu nao wachangie … au siyo? Asante sana kwa maoni yako.

   Like

   simbadeo

   August 22, 2011 at 4:37 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: