simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mbalimbali za NRB …

leave a comment »

Maduka ya vitabu yanashindania nafasi … maana yake nini … watu wanasoma … wanasoma sana. Jamii ya watu wasiojishughulisha kusoma husinzia … hulala usingizi fofofo. Tuamke ndugu zangu.

Vipanya … wakati jiji Darisalama vimepigwa stop kuingia katikati ya jiji … kwa wenzetu NRB bado vinadunda hadi city centre …

Ujenzi unaendelea … kwa kasi kubwa … huku ni pembezoni kidogo … sawasawa na Kiluvya … kind off.

Haya … changamoto kwa Mzee J.P. Magufuli … hizo trilioni zilizoelekezwa kwenye wizara yake … zituletee mambo haya …

Kivuko cha barabara cha chini kwa chini … Pengine sisi tunahitaji vya juu … maana kuna watu watageuza kuwa ndiyo maeneo yao ya kujipatia chochote kwa kuwatia kabali wenzao …

Yaani kila mtaa unaopita unakutana na tangazo hili ‘linalokera’ … yaani sisi tunachojivunia ni ‘utalaamu ule wa kuletea watu bahati kwenye biashara, mapenzi, kazi n.k.’ Wala siyo siri, nakereka sana.

Mpanda ngazi hushuka? Vipi … umngoje chini au umpandie hukohuko? Mie nasema mpandie hukohuko!

Advertisements

Written by simbadeo

August 8, 2011 at 10:50 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: