simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Chai Maharage … wazikumbuka?

leave a comment »

Kufuatia ruksa iliyotolewa na Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, Dar ilishuhudia usafiri wa umma ukitumia magari yaliyokuwa maarufu kama Chai Maharage. Hivi sasa hali ya usafiri wa umma jijini Dar es Salaam inazidi kuwa tata. Mabasi hufurika kupita kiasi. Pengine ni wakati wa sasa ‘wenye nazo’ waingize Chai Maharage kwa wingi ili kukabili tatizo hilo la usafiri.

Kwa majirani zetu … katika usafiri wa umma ni ‘level seat’ tu … hakuna hata abiria mmoja kusimama … Hivi kwa nini sisi huwa tunajazana kama ndizi kwenye Fuso … Hebu tubadilike jamani … eeh SUMATRA mko wapi? Traffic Police nanyi mko wapi? Tunataka ‘level seat’ tu kwenye daladala na SI kujazana. Ndiyo jambo hili ni muhimu kwa afya zetu … vilevile kuzuia wizi ambao umetawala kwenye vyombo vya usafiri wa umma.

Advertisements

Written by simbadeo

August 6, 2011 at 3:28 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: