simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Pipi ya kijiti tamu …

with 4 comments

… hadi usingizini!

Dada huyu alikuwa abiria mwenzangu kwenye ‘Matatu’. Tuliketi viti vya mbele pamoja na dereva. Mimi niliketi katika kiti cha katikati baada ya kumpisha yeye alipopanda katika kituo kilichofuatia. Alikuwa mchangamfu mpaka pale pipi ya kijiti aliyokuwa akiifurahia ilimpombembeleza na kumwingiza usingizini. Ndiyo utamu wa pipi ya kijiti, au siyo?

Advertisements

Written by simbadeo

July 30, 2011 at 11:15 pm

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Simbadeo umenifurahisha na hiyo picha… au ndo pipi ya mint!!.
  wewe kiboko ulichukuaje picha yake!!
  hongera kutujuza ya Kenya
  mwemezi

  Like

  mwemezi

  August 1, 2011 at 9:50 am

 2. Hi Mwemezi, ndiyo upaparazi … kila jambo huzua fikra. Karibu.

  Like

  Deo Simba

  August 1, 2011 at 11:44 pm

 3. Iyo kali kjana du!au ilikuwa & madawa ya kulevya?

  Like

  RICHARD VAN CRETUS

  November 17, 2011 at 3:03 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: