simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Happy Ramadan … Heri ya Ramadhani

leave a comment »

Hii ni kuwatakia Ndugu zetu Waislamu heri na fanaka katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Ni kipindi cha kujitafakari, ni kipindi cha kujipima, ni kipindi cha kujitathmini ili kuona kuwa je ndani ya mwaka mzima uliopita tumepiga hatua kubwa kiasi gani katika kuwa binadamu bora zaidi, katika ucha-Mungu, katika kuwapa wengine furaha, katika kuwapunguzia wengine shida zao, katika kueneza amani na maelewano. Ama kwa hakika yapo mengi ya kutafakari. Ni matarajio yetu wengine kwamba Mwezi Huu Mtukufu utatumika vema kujitakasa na kujiletea mabadiliko chanya katika maisha. Mwenyezi Mungu awatangulie na kuwapa nguvu za kufunga kikamilifu katika kipindi chote. Inshaallah!

Advertisements

Written by simbadeo

July 29, 2011 at 9:58 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: