simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Japan wins against US in Fifa Women’s World Cup Germany 2011 …

leave a comment »

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake Japan wakisherehekea moja ya magoli lao kule Ujerumani katika fainali za Kombe la Dunia la Wanawake 2011.

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Marekani wakisherehekea moja ya magoli waliyofunga.

Mpaka muda wa nyongeza unaisha, magoli yalikuwa 2 – 2.
Sasa penati zinapigwa. Marekani wamekosa penati mbili za mwanzo. Japani wanapata penati ya kwanza, wanakosa ya pili. Marekani wanakosa penati ya tatu. Golikipa wa Japani ni hatari kwelikweli. Japani wanapata goli penati ya tatu. Marekani wanapata penati ya tatu. Magoli ni Japani 2, Marekani 1. Japani wanashinda kombe la dunia kwa penati ya 4. Hongera sana Wajapani. Ni furaha tupu kwa Wajapani ambao dakika za mwishomwisho za kipindi cha nyongeza, mchezaji wao mmoja alitolewa kwa kadi nyekundu. Congratulations to Japanese Women’s Team for winning the World Cup 2011 in Germany.

Advertisements

Written by simbadeo

July 18, 2011 at 12:23 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: