simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kiu ya umeme …

leave a comment »

Kiu cha umeme
Kiu ya umeme
Vyovyote utakavyoiita,
Kiu ya kitu fulani
Huashiria kuwa na upungufu
Upungufu unaokera
Upungufu unaoonesha udhaifu wako
Kiu, kiu, kiu.

Ama kwa hakika
Maamuzi magumu ni muhimu
Ni muhimu ili kusonga mbele
Pasipo hayo
Ni kuangamia huku twajiona.

Hivi kweli,
Sie sote,
Na wataalamu wetu wote,
Na marafiki wote tulio nao duniani,
Tumeshindwa kweli kukata kiu hichi?

Tuamke,
Tushikamane,
Tukate kiu hii,
Tukate kiu hiki,
Taifa lipate kuendelea,
Maisha yapate kwenda mbele,
Katika dunia hii iliyojaa ushindani,
Ushindani usiongalia kama nyote mna mazingira na vigezo sawa,
Ole wao wanaoeneza KIU hiki kwa makusudi,
Ipo siku, ipo siku watalibeba kaa la moto.

Advertisements

Written by simbadeo

July 10, 2011 at 9:58 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: