simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kazi popote … Social Network Day

with 3 comments

Katika mihangaiko … chini ya umeme wa mgao … Na leo ilikuwa sikua ya Social Network! Sijui wangapi tulikumbuka … kucelebrate ujio wa mtandao katika mawasiliano na jinsi dunia yetu inavyounganishwa … jinsi marafiki wanavyopatikana … jinsi tunavyopata habari… jinsi tunavyohabarisha … jinsi tunavyojieleza … jinsi tunavyotoa michango ya kimawazo katika masuala mbalimbali yanayoibuliwa na kuibuka … jinsi tunavyopata fursa za kiuchumi za kutuongezea kipato na kuukabili ukosefu wa senti … jinsi tunavyopata mitazamo mipya ya kimaisha na kujaribu kushawishi kukubalika kwa falsafa zetu … ama kwa hakika kuna mengi katika Social Network … Wabongo … tujifunze kutumia mtandao na social networks … tuwe wengi … tuhabarishane… tuonyane …tuburudishane … n.k.

Advertisements

Written by simbadeo

June 30, 2011 at 7:02 pm

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Asante kwa mawazo mazuri. Mimi nikuongezee changamoto katika hili la umeme. Hivi Simba, hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kuinunua Tanzania walau wakatuwekea umeme na kutulipa mishahara mizuri? Rais wetu na waandamizi wake wameshashindwa kazi, kuondoka hawataki, tufanyeje?

  Like

  Reginald Mbuya

  June 30, 2011 at 9:02 pm

  • Reginaldo, swali gumu hilo … ila katika utandaaji wa kimtandao … basi swali lako na pendekezo lako limefika … naamini watatujibu … TUFANYEJE?

   Like

   Deo Simba

   June 30, 2011 at 9:44 pm

 2. Searched for jinsi using recency based with at least some influence scoring in 0.5.secs. na hiyo inaonyesha jinsi gani soka la Tanzania kuwa limetawaliwa na SIMBA NA YANGA .

  Like

  hemp

  July 12, 2011 at 8:06 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: