simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Haki Miliki … semina kwa Wabunge

with 3 comments

Bw John Kitime (aliyesimama) – mmoja wa wanamuziki wakongwe nchini akitoa maelezo kuhusu suala la haki miliki katika semina iliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya Waheshimiwa Wabunge mjini Dodoma hivi karibuni.

Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge walioshiriki kwenye semina hiyo wakisikiliza kwa makini mada inayoendelea kutolewa. Mmoja wapo ni Mh Joseph Mbilinyi a.k.a. Mr Sugu (Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia tiketi ya Chadema).

Dhana ya “Haki Miliki” bado ina safari ndefu kueleweka miongoni wa wanajamii. Wapo wanaodhani kwamba haki miliki ni kitu cha ‘kupewa’, kwamba kuna mamlaka inayompa mtu haki miliki. Wapo wanaotumia kazi za ubunifu kama sehemu muhimu ya biashara zao pasipo kuelewa kwamba kwa kuwa kazi hizo za ubunifu zinawaingizia … nao wana wajibu wa kulipa kwa wenye kazi hizo. Ni vema umma wa Watanzania tujielimishe kuhusu dhana hii ya Haki Miliki ili kulinda haki zetu na pia kuchunga matumizi yetu ya kazi za wengine kwa minajili ya kuwatendea haki. Chombo kinachosimamia suala la Haki Miliki nchini Tanzania kinaitwa COSOTA yaani Copyright Society of Tanzania (Chama cha Haki Miliki Tanzania). Mtu yeyote anayefanya kazi ya ubunifu ana haki ya kuwa mwanachama katika chama hiki. Taratibu zipo wazi na ni rahisi ili kwamba kila Mtanzania mwenye ubunifu wake apate fursa ya kujiunga na Chama hiki. Kwa maelezo zaidi, tafadhali wapigie simu 022-212 5981.

Picha ni kutoka: http://www.facebook.com/#!/john.kitime

Advertisements

Written by simbadeo

June 20, 2011 at 12:42 pm

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. i hope itasaidia maana wasanii wanaibiwa sn na hakuna wakuwasaidia

  http://mapenziyangu.wordpress.com/

  Like

  mapenziyangu

  June 23, 2011 at 10:21 am

 2. WATU wengi hasa baadhi ya wanaume ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua Turn on hata kama amechoka sana.Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza Mwenza wake yuko tayari au la!.Mf Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambo ni wakubwa kiumri wazamani au wale ambao wanathamini sana jadi zao asilia ndani ya Afrika kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni njoo hapa au vua nguo basi na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewe hujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya uso wako…….halafu watu mnashangaa kuambiwa mume wangu alinibaka .Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaume wanavyojipendelea wabinfsi na mara zote huweka akilini mwao kuwa wanawake mwanamke ni chombo cha kumridhisha kumstarehesha kumfurahisha na kumliwaza yeye mwanaume.Napenda kusema kuwa mwanamke kama mwanadamu pia anahaki ya kuridhishwa kustareheshwa kufurahishwa na kuliwazwa pia.Dhana hiyo potofu niliyoelezea hapo juu imepelekea baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo mwali na kuwafundisha jinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi hao wana bahati.Lakini kwa wale akina mimi ambao hatufuati hatuna hatuzijui mila hizo tumekuwa tukifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye Video ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.Inasikitisha sana kuona pia baadhi hufuatilia hatua kwa hatua kila kinachoandikwa kwenye Magazeti na baadhi yao huamua kutafuta Kungwi na kulipishwa ili wapatiwe ujuzi wa kufanya mapenzi ili kuwaridhisha wapenzi wao.Ninavyofahamu mimi ni kuwa ujuzi utundu katika kufanya mapenzi haufundishwi hata kidogo ila ni ubunifu wako kujaribu kuujua mwili wako na wa mpezni wako ufurahiaji wa mwili wako kujiamini kwako uwazi na ushirikiano wa mpenzi wako.Ni vema jadi ikabadilishwa na swala zima la kufundishwa fundwa liwe kwa jinsia zote mbili. Kuna akina sisi ambao hatu husudu kunyonywa sehemu za faragha na moja ya starehe ya vitu kwenye dini fulani viitwavyo dhambi ni kuhakikisha unayempa muda wa faragha na kugusanisha naye faragha anaridhika au anaridhika kubwa kuliko hiyo ndiyo furaha yako.

  Like

  business review

  July 11, 2011 at 5:46 am

 3. Masharti ya matumizi yanaendelea Utumiaji wa bbc.co.uk Haki ya mali akili Uchangiaji katika BBC Jamii za bbc.co.uk Kanusho na kupunguza uwajibikaji Jumla Wiji. Unakubaliana kutumia bbc.co.uk kwa shughuli zinazokubalika kisheria na vyovyote vile isizuie haki kukataza mtu yoyote kutumia na kufaidi bbc.co.uk..

  Like

  business review

  July 13, 2011 at 7:42 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: