simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kilimo Kwanza … kuelekea mapinduzi

with 2 comments

Ni katika pitapita zangu … mara vuuuuup … nakutana na msafara wa matrekta … mpaka kusimamisha tukutuku na kujaribu kuwahi picha … ndiyo nikapata hiyo. Kama kasi ya kuingiza matrekta itaongezwa (maana kuna watu wameshikilia funguo za kuruhusu kasi kuongezeka au kupungua) basi naamini maazimio ya Kilimo Kwanza yatafikiwa. Lakini ni vema matrekta haya yasiishie kufanya kazi za kusomba taka mijini bali yaende kule vijijini kwetu na yafanye kazi ambayo kwayo yamebuniwa… kulima na kubeba mazao ya shamba.

Twende kijijini Gezaulole tukalime … tuache kuzurura mijini … tuache kutembeza bidhaa ‘zinazojenga chumi za wengine’, tuzalishe wenyewe kwa mikono yetu na tule vile tunavyozalisha wenyewe … hao wengine wakipenda waje tuwauzie vile tunavyozalisha sisi. Tupo pamoja. Kilimo Kwanza hoyeeeeee! Juuuuuuuu! Juuuuuu kabisa.

Advertisements

Written by simbadeo

May 28, 2011 at 11:23 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ni kweli kabisa kaka Simba, kama haya matrekta yangeenda kule vijijini yaani hata nchi yetu isingeishiwa na chakula na kuwa ombaomba. Kule kwetu upareni kuna sehemu moja ni tambarare inaitwa “butu” zamani wazee wetu walikuwa wanalima na matrekta lakini sasahivi kumekuwa pori, kunaeneo kubwa sana na udongo wake unarutuba nzuri sana lakini sasa hivi vijana wote tumekimbilia mijini tumesahau “kilimo kwanza”.

  Like

  dorin

  June 2, 2011 at 10:23 am

 2. Kundi letu la watu watano ambao tunapenda ujasiliamali. Tupo kariakoo tunafanya kazi ya kuuza mboga za majani. Tunaomba msaada wenu.

  Like

  NGUVU KAZI GROUP

  June 26, 2011 at 12:25 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: