simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Muhimbili … kuna kazi

leave a comment »

Ndiyo … kuna kazi kubwa inaendelea … Ujenzi wa Kitengo cha Matatizo ya Moyo … Ni kazi kubwa. Tuombe Mungu kwamba ‘structure’ hii isilete manung’uniko kama ambayo yameanza kusikika kuhusu majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma … kuwa hata miaka mitano bado kupita … tayari yanavuja na yana kasoro kibao … Tuombe.

Na … lilikuwa wazo zuri sana kuweka kazi za sanaa hapa … wagonjwa wapate kuliwazika kidogo … Lakini la kujiuliza ni ikiwa taratibu za ‘copyright’ zilizingatiwa … Ni katika Jengo la Watoto pale Muhimbili National Hospital.

Advertisements

Written by simbadeo

May 21, 2011 at 4:54 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: