simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Sasa hivi … miaka kumi baadaye je?

leave a comment »

Kuna akina mama wengi wanaojishughulisha na biashara ndogondogo … kwa kutumia biashara hizo … wanasomesha watoto, wanalipa kodi za nyumba, wanalipia gharama za afya kwa ajili yao na wanafamilia wao, kwa ujumla ni wapiganaji … wapiganaji hodari … ingawa silaha wanazotumia ni duni … hawa ndiyo wanaofanya mashangingi yanayotumiwa na viongozi yananunuliwe na kuwa barabarani …

Watu wanazidi kujenga … majengo ya maana … ila wasiwasi wangu ni katika maeneo wanayojenga … maeneo mengine ni mabondeni … hatuombei El-Nino …

Idadi ya watu inazidi kwenda juu … taratibu Dar es Salaam na miundombinu yake inazidi kuelemewa … mipango ni mingi … ila mingi ipo katika maneno … miaka kumi ijayo hali itakuwaje?

Hili ni moja ya masuluhisho … kupanda mimea … yenye kuzaa matunda na isiyozaa matunda … Pongezi nyingi kwa mwenye biashara hii ambaye anatuonyesha moja ya njia za kufuata.

Advertisements

Written by simbadeo

May 15, 2011 at 11:37 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: