simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

UDSM: M-digrii … na matukio mengineyo katika picha

with 4 comments

Mti maarufu zaidi katika mazingira ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mh Joseph Butiku (kushoto), Prof Hamudi Majamba (katikati) na mwingine kulia ambaye sikupata jina lake mara moja. Ilikuwa wakati wa mapumziko katika Kongamano la Pan-Africanism lililoandaliwa na Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu Nyerere katika Masuala ya Umajumui.

TGNP pia walikuwepo …

Washiriki mbalimbali …

Mmoja wa washiriki akichangia mada … kwa kuuliza swali kwa Prof Yash Ghai …

Mshiriki akiuliza swali …

Prof M. Mbilinyi akichangia mada …

Washiriki …

Prof Shah Ghai, aliyepata kuwa Mkuu wa Tatu wa Kitivo cha Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya mwanzo tangu kuanzishwa kwake, hii ni picha yake kupitia moja ya screen iliyowekwa ukumbini ili kusaidia watazamaji walio mbali kufuatilia vizuri zaidi.

Mijadala ilikuwa mizito na ya kufikirisha kama si kutafakarisha. Lililokuwa kubwa ni mjadala kuhusu mchakato sahihi wa kuunda katiba. Maswali mengine yaliyonyesha kwamba katika Afrika, michakato ya uundwaji wa katiba imegubikwa na hila nyingi za kibepari, huku wananchi walio wengi wakiwekwa kando kutokana na visingizio mbalimbali. Wewe unafikiri nini kuhusu hili. Ni wakati wako kutafakari na kutushirikisha fikra zako.

Advertisements

Written by simbadeo

April 15, 2011 at 4:37 pm

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. nimeona ila ningekuwepo ningeeleza umuhimu wa katiba mpya

  Like

  stevo

  January 28, 2012 at 1:00 am

 2. msongamano umekua mkubwa sana mdigrii hasa nyakat za pepa nafikir wafiririe kuanzsha m diploma maeneo ya yombo.

  Like

  manonga

  February 22, 2012 at 12:35 pm

  • mdigrii huwa unafafurika sana wakat wa paper hii ni kutokana na wanafunzi wengi kusomea paper na ndio maan udsm inaporomoka by said salum studied pspa and history at udsm

   Like

   said salum

   February 27, 2012 at 6:57 pm

 3. mdigrii ni mahal patukufu na patakatifu kwa udsm mzima

  Like

  hamisi hamadi

  March 24, 2012 at 2:34 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: