simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar es Salaam: A glimpse

leave a comment »

Wapi hapa?

Kumekucha. Kutafuta riziki za watoto. Kwa mtaji wa 12,000/- fedha za Tanzania, maisha yanakwenda. Hongereni sana akina mama kwa kujituma. Mnachonifurahisha ni kwamba mnauza bidhaa halisi za Mtanzania … kwa hilo nawapongeza … endelezeni moyo huo.

Haya tena … kuna gari liliwaka moto maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kwa mujibu wa jamaa hao wanaookotezaokoteza mabaki, ilikuwa aina ya Discovery. Hakuna aliyeumia. Hakuna aliyepoteza maisha. Scavanging inaendelea.

Haya tena uwekezaji katika majengo pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unaendelea. Ni jambo la maana, ila tusije kusikia kwamba baada ya muda mfupi yanavuja kama tulivyosikia kupitia habari za mtandaoni kwamba majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma tayari yameanza kuvuja … hata miaka mitano tangu yaanze kutumika bado … LOL.

Advertisements

Written by simbadeo

April 12, 2011 at 6:19 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: