simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Buguruni Malapa …

leave a comment »

Nakuonyesha sehemu kiduchu tu ya eneo maarufu jijiini Dar es Salaam inayoitwa Buguruni Malapa. Alama kuu ni hilo jengo la hosteli hapo kulia pamoja na mfereji huo ambao siku hizi umejengewa daraja pana zaidi kidogo kuliko lililokuwepo awali.

Dar inabadilika … tunashuhudia utengenezwaji wa historia … swali … je sisi ni washiriki tulio active au ni passive katika mchakato wa utengenezaji historia …

Yaani nazungumzia hili la Katiba. Shiriki. Ni haki yako. Ni wajibu wako.

Tupo pamoja.

Advertisements

Written by simbadeo

April 8, 2011 at 4:30 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: