simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar es Salaam … mengi ya kutafakari …

with 2 comments

Kwa taarifa yako … Institute of Accountancy Arusha imefungua tawi lake Dar es Salaam. Wapo Quality Plaza, Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam. HOngereni kwa upanuzi huu … tunawaomba mwende na Tabora pia ili kueneza elimu huko pia.

Bodaboda … usafiri mzuri wa kutokwama kwenye foleni … lakini … kama kuna watu wanakuvizia …!?!

Ndiyo … wapo wenye miguu na viatu … wapo wasio na miguu wala viatu … lakini wote ni WATU … wote ni BINADAMU … ubora wao upo katika NAFSI zao si katika mionekano yao …

Unatafuta ‘physical address’ ya ofisi yake? Imo kwenye sanduku/begi.

Embassay Hotel weee … tunakumiss mno … utafufuka lini? Tujifunze nini kutoka kwako? … Bongo …

Unaweza kuonja na SI lazima ununue … naona ishaingia hadi katika maisha halisi …

Dalili ya mvua ni mawingu … Mawingu… dhoruba huja … hupita … jua kali huja … hupita … usiku huja … hupita … mchana nao huja … nao hupita pia … Maisha ni KUJA na KUPITA?

Tafakari … wapenzi wafuatiliaji wa blogu hii mtaniwia radhi kwa ukimya wangu wa takribani wiki mbili sasa … nipo … nadhani nakuja kwa kasi zaidi … maana HUENDA nitakuwa na muda zaidi kidogo … usisite kudondosha maoni yako pale unapokunwa … au hata unapotaka kubishia.

Advertisements

Written by simbadeo

April 2, 2011 at 3:53 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. ahsante kwa kutujuza na pia kwa taswirwa ya kunyumba:-)

  Like

  yasinta

  April 2, 2011 at 4:22 pm

 2. Kuna mengi ya kutafakari … kuhusu huku kunyumba … tuendelee kuwepo.

  Like

  Deo Simba

  April 2, 2011 at 9:59 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: