simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dodo … ni tamu … ni ghali …

with 2 comments

Hivi sasa embe dodo moja jijini Dar es Salaam linauzwa kati ya shilingi 800 hadi 1000. Msimu wa maembe umemalizika. Matunda yamekuwa ghali kwa ujumla. Yaelekea wengine tutayala baada ya kuelekezwa hivyo daktari … vinginevyo … ni vigumu.

Advertisements

Written by simbadeo

March 27, 2011 at 11:26 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Tabia hii si nzuri kabisa kuwatamanisha wengine:-(

  Like

  yasinta

  April 1, 2011 at 2:03 pm

 2. Da Yasinta … we acha tu … ukiona hivyo ujue nimenogewa nazo!

  Like

  Kaka Simba

  April 2, 2011 at 3:03 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: