simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Japan Earthquake and Tsunami … bado

with one comment

Wananchi wa Japani wameendelea kuwa wavumilivu na kujifunza namna ya kuendana na madhira yaliyowakumba kufuatia majanga pacha mabaya kabisa kuwahi kuikumba nchi hiyo ya tetemeko la ardhi na tsunami. Wakati huohuo hatari ya mionzi ya nyuklia imeendelea kuwepo huku wafanyakazi katika vituo vya nyuklia vilivyo hatarini kulipuka wakifanya kila juhudi kudhibiti myeyuko. Tayari njia ya kufikisha umeme kwenye kituo kimojawapo imekamilika na huenda itasaidia kudhibiti hatari iliyopo. Wafanyakazi hao ambao ni wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya nyuklia wanafanya kazi kufa na kupona katika mazingira ambayo ni ya hatari mno kwa uhai wao.

Wananchi waliopoteza makazi yao wameendelea kuwa katika vituo vya uokoaji wakisubiri namna ya kuanza kujenga upya maisha yao. Idadi ya watu waliothibitishwa kupoteza maisha tayari imeshavuka 6,000 na hadi sasa watu 17,000 wameripotiwa kutojulikana walipo.

Kwa ujumla hali bado ni tete na walau tunaweza kuungana nao kwa kuwakumbuka na kuwaombea.

Advertisements

Written by simbadeo

March 19, 2011 at 1:11 pm

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Perfect site, i like it!

    Like

    buy tramadol

    April 16, 2011 at 8:40 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: