simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Fursa ya kujifunza UJASIRIAMALI … wanawake kuna scholarship …

with 3 comments

Asante sana Mdau wa blogu hii Jane Mgaya kwa kutuletea taarifa hizi. Ili kupata vipeperushi hivi kwa urahisi, bofya kwenye kipeperushi, kisha kihifadhi kwenye tarakilishi yako, hapo unaweza kukikuza katika ukubwa wowote unaoona unakufaa kwa kusoma. Pia unaweza kuprint ili kujisomea kwa umakini zaidi.

Na huu hapa ndiyo msisitizo kwamba unapoomba kushiriki kwenye fursa hii ya mafunzo USIKUBALI kutoa kitu kidogo.

Hello Kaka Simba,

Watu waliniomba course zikitoka tena za ujasiriamali niwajulishe. Naomba uwatumie hivi vipeperushi waombe wale watakaohitaji. Sisitiza huduma ni clean, hakuna rushwa asikubali mtu kutoa rushwa, anakuwa anaibiwa kama itatokea, vinginevyo usajili ni huru kabisa na kwa kufuata sifa na taratibu lakini ni kwa tahadhari tu, kwenye msafara wa mamba na kenge huwa wamo.

Nashukuru.

JM

Advertisements

Written by simbadeo

March 18, 2011 at 11:13 am

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ahsante sana kwa taarifa hii nzuri!!

  Like

  yasinta

  March 18, 2011 at 2:06 pm

  • dada Yasinta, asante kushukuru. Hata hivyo tumshukuru zaidi Da Jane kwa utayari wake wa kutushirikisha taarifa hizi muhimu. Tuendelee kuwepo.

   Like

   simbadeo

   March 19, 2011 at 12:03 am

 2. Notify me where day old chicks can be obtained with their relevant prices due their production type
  i.e Layers
  Broilers

  Like

  PETER YOHANA MHINA

  February 20, 2014 at 9:27 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: