simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

John Pombe Magufuli kujiuzulu?

with 2 comments

Kuna uvumi umeenea kupitia mitandao ya kijamii, hasa Facebook, na kuripotiwa na Tanzania Daima 18 Machi, 2011, kwamba Mh Dkt John Pombe Magufuli, Waziri wa Ujenzi amemwandikia Mh Rais, Jakaya Kikwete, kuomba kujiuzulu wadhifa wake huo. Hizo bado ni tetesi … hazijathibitishwa kwa namna yoyote.

Tuendelee kutega sikio na kuona kama uamuzi huo ni wa kweli, je, nini sababu zake? Je, uamuzi huo utakuwa na athari ipi kwa serikali ya Awamu ya Nne? Je, kuna namna yoyote ambayo Chama Cha Mapinduzi kitaathirika na uamuzi huo?

Hata hivyo, Dkt Magufuli amejizolea sifa kubwa mbele ya wananchi na wadau wa maendeleo kutokana na utendaji kazi wake. Katika kila wizara aliyowahi kupelekwa ili kuisimamia, daima alifanya wizara hiyo ichangamke kiutendaji. Bila shaka habari hizi, endapo zitathibitishwa kuwa kweli, zitakuwa na mshawasha wa aina yake katika siasa za Tanzania.

Picha ni kutoka: http://lukwangule.blogspot.com/2000_11_01_archive.html

Advertisements

Written by simbadeo

March 18, 2011 at 10:23 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kama atakuwa amejizulu bila shaka ndio mwisho wa CCm

  Like

  Izaya

  March 19, 2011 at 9:19 am

 2. Ndugu Izaya, habari hizo za kujiuzulu kwa Waziri wa Ujenzi, Dr Magufuli, zilikanushwa jana na katibu mkuu wa wizara hiyo, na alisisitiza kwamba Dr Magufuli hana nia ya kujiuzulu na wala hajawahi kufikiria kujiuzulu.

  Like

  Deogratias Simba

  March 19, 2011 at 12:39 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: