simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Power woes to become ‘history’ in Tanzania? … Just wait and see …

with 2 comments

Tanzania Electricity Supplies Company (TANESCO) head office in Dar …

High tension power line …

Mradi wa Stiegler’s Gorge wazinduliwa

na Mwandishi wetu

WIZARA ya Nishati na Madini imezindua kamati ya kusimamia utelekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme kutokana na maporomoko ya maji ya ndani ya bonde la Mto Rufiji.

Uzinduzi wa kamati hiyo inayoundwa na wataalamu kutoka wizara mbalimbali nchini ikiwemo Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ulifanywa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Jairo alisema mradi huo utakaosimamia mambo matano ukiwemo uzalishaji wa umeme wa megawati 6,000 na kwamba hatua hiyo ni mkakati wa kuiondoa nchi gizani.

Kwa mujibu wa Jairo, mradi huo utakaotekelezwa kwa awamu tatu utagharimu dola za Marekani bilioni tano na unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitano.

Shughuli nyingine za mradi huo utakaoongozwa na Kamishna wa Nishati na Petroli, Mhandisi Bashir Mrindoko,
zitahusu kilimo cha umwagiliaji, usambazaji wa maji majumbani na viwandani, uvuvi na utalii.

Wajumbe ni mhandisi Theophillo Bakwea, Mhandisi Leonard Masanja na Joram Kengeta – wote kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Evodia Pangani wa Ofisi ya Rais Tume ya Mipango, Mhandisi Hamza Singano (Wizara ya Maji), Bonaventure Midala na John Mbwilizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii.

Wengine ni mhandisi Katinda Kamando wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhandisi Wenslaus Lambaleki (Wakala wa kuendeleza Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Mhandisi Lewanga Tesha (TANESCO) na Anastaz Mbawala wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA).

Aliitaka kamati iliyoundwa kukutana mara moja kwa lengo la kuandaa hadidu za rejea kuhusu mradi huo na kusisitiza kuwa mradi huo utatekelezwa ipasavyo.

Source of news: Tanzania Daima March 17th, 2011.

My take:

1. Some of us are Thomases … we don’t believe without seeing with our own naked eyes and touching what we are told exists … otherwise … these may remain empty words/promises. Show us what is really happening and we will believe.

2. Please give us more analytical information regarding the project: financiers, contractors, implementation schedule, tasks to be involved etc … etc …

Advertisements

Written by simbadeo

March 17, 2011 at 12:35 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. it may became history, ila serikali inabidi ichukue uamuzi sahihi kwa kuwatumia wataalamu wa nishati na si wanasiasa kuamua masuala ya kitaalam km hayo

  Like

  mwl. Swilla

  March 17, 2011 at 2:40 pm

  • Mwl Swilla, yes indeed, professionalism has to be respected … politics should be kept in the realms of politics and other professions should be let to lead … I concur with you.

   Like

   simbadeo

   March 17, 2011 at 4:57 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: