simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

More images on Japan Quake and Tsunami effects …

leave a comment »

Sea wave hitting at residential area …

Earthquake broken road …

Broken house … no longer fit for human habitation

Source of images: http://blog.bargainvillas.co.uk/index.php/2011/03/11/latest-japan-tsunami-and-earthquake-images/

Na hali bado ni tete sana huko Japani hasa kutokana na tishio la kuvuja kwa mionzi kutoka katika vinu vya nyuklia vilivyopata athari mbaya kutokana na tetemeko la ardhi na lile la chini ya bahari (tsunami). Watu wameshauriwa kubaki ndani ya nyumba pasipo kutoka inje katika ukanda wa kilomita 30 kutoka katika kinu cha nyuklia kilichokorofisha. Wataalamu wamekuwa wakifanya kila juhudi ili kudhibiti kiwango cha madhara.

Tukio hili la tetemeko la ardhi na la tsunami ni baya zaidi katika histori ya Japani kwa zaidi ya miaka 150. Tuzidi kuwaombea wenzetu ambao bila shaka wako katika kipindi kigumu cha mahangaiko huku wengine wakiwa wamepoteza ndugu na jamaa zao, marafiki, wafanyakazi wenza, wafanyabiashara wenzao, majirani, watoto pamoja na mali zao. Wapo pia waliojeruhiwa vibaya. Hata kuwakumbuka tu katika huzuni hii ni faraja kubwa kwao.

Endelea kufuatilia …

Advertisements

Written by simbadeo

March 16, 2011 at 12:05 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: