simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Japan … hali bado tete …

leave a comment »

Looking up with hope …

Devastation …

Recollecting …

Solidarity … (school children in India) … We’re with you and will be with you in this …

Hali bado ni tete nchini Japan:

1. Kazi ya uokoaji bado inaendelea, inakadiriwa kwamba watu waliopoteza maisha ni zaidi ya 10,000.

2. Walionusurika bado hawana huduma muhimu kama vile maji salama, umeme, chakula na dawa.

3. Suhula za kushughulikia miili ya binadamu hazijitoshelezi.

Kwa ujumla Japan inahitaji sana misaada ya kibinadamu kutoka katika mataifa mengine – ingawa yenyewe ni tajiri na ina rasilimali zinazoweza kutumiwa kukabili changamoto zilizopo sasa lakini ili kuonyesha mshikamano ni vema mataifa mengine nayo yajitolee kwa hali na mali. Tuendelee kuwaombea wenzetu wa Japan ili wawe imani na ujasiri wa kuvuka kipindi hiki kigumu.

Advertisements

Written by simbadeo

March 14, 2011 at 3:05 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: