simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Japan earth quake, tsunami … images showing destruction

with one comment

“Japanese people will rise again, they always have” … Yes … true indeed. In spite of being hit by the terrible earthquake, followed by a huge tsunami and amid fears of radiation from a nuclear reactor centre … Japan will rise again. All our prayers, thoughts and support are with you our kindred in Japan. Don’t lose hope. You’ll get over this. We send you our love and compassion.

Source of images: different sources especially Associated Press and Reuters

Tafakari

Tanzania tunajifunza nini kutokana na janga lililoikumba Japan siku mbili zilizopita? Nina hakika kuna mengi ya kujifunza. Nitataja machache katika orodha ndefu ambayo kila mmoja wetu anaweza kuandaa:

1. Majanga yapo duniani … yanapotokea … madhara yake hayana kipimo.
2. Kujiandaa dhidi ya majanga ni muhimu sana … husaidia sana katika kupunguza idadi ya vifo na upotevu wa maisha.
3. Nchi ya Japani na watu wake wamekuwa wadau wakubwa sana katika maendeleo ya nchi yetu. Kutoka kwao nchi yetu imepata urafiki wa kweli katika karibu kipindi chote tangu tupate uhuru. Wao wamekuwa nasi nyakati za dhiki na furaha. Urafiki wao haukuwahi kuonyesha ‘unafiki’ wa aina yoyote kama yalivyo baadhi ya mataifa (ambayo interest zao ni rasilimali zilizopo Afrika). Je, wenzetu hawa wanapopatwa na matatizo kama haya … tunasaidiana nao vipi? Tunalo jeshi kubwa … kwa nini tusiwatume baadhi kwenda kusaidia katika harakati za uokoaji na usafishaji? Je, ni lazima nasi msaada wetu uwe katika muundo wa fedha? Je, yule ambaye siku zote huwa ndiyo kimbilio lako upatapo matatizo anapopata na yeye janga … utakimbilia wapi … SOMO kubwa ni kwa sisi kujitahidi KUONDOKANA na UTEGEMEZI wa kiuchumi … maana wale tunaowategemea wanapopatwa na majanga … ina maana ule msaada ambao wao huuleta huku watauhitaji ili kurekebisha mambo yao, au siyo? Tukijitegemea … tutahitaji msaada wa binadamu wenzetu pale tu tunapopatwa na majanga yanayozidi uwezo wetu. Mimi naona hili ndiyo FUNZO kubwa tunalopaswa kutoka nalo katika janga lililowakumba rafiki zetu wa Japan.

Advertisements

Written by simbadeo

March 13, 2011 at 6:59 pm

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. I wish rise again

    Like

    gaurithapa

    March 15, 2011 at 7:40 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: