simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Usalama wa … barabarani na viranja wake

leave a comment »

Askari polisi alikamata gari hilo aina ya Benz katika service road iliyo kandokando ya Barabara ya Nyerere eneo la Quality Plaza. Lakini tazama position yake. Gari alilokamata lipo barabarani, naye yupo barabarani tena upande ule ambao magari yanayotoka upande wa pili yanapaswa kupitia.

Ghafla kuna gari linakuja nyuma na halina mahali pa kupita … askari hana habari, kazama katika fikra za ‘kumuadhibu’ dereva mkosaji … Jambo hilo lilikuwa hatari siyo kwake tu bali hata kwa watumiaji wengine wa barabara. Natazama saa yangu, ni baada ya saa saba mchana … nakumbuka njaa yangu … sina budi kutafuta ‘chochote’ cha kupata … Sina hakika kama njaa yangu ilikuwa ikifanana na ya askari huyu au yeye alishapata ‘chochote’. Natatizika na utaratibu wake wa kukamata gari … Najiuliza, je, hakuna njia iliyo salama zaidi?

Advertisements

Written by simbadeo

March 8, 2011 at 10:32 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: