simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Simba vs Yanga … yaliyotia fora kabla ya mechi …

with 2 comments

Vibendera …

Mmasai akipandisha mzuka na ‘alaji, alaji…’

Biashara zilitawala …

Mashabiki wa Yanga wakichoma moto kitambaa cha Mnyama Simba … lakini yote ilikuwa ni burudani …

Mashabiki wa Simba hawakukubali … walizima moto huo kwenye kitambaa kwa kukimiminia bia …

Mashabiki …

Naam … walizidi kumiminika kutoka kila kona ya jiji na miji ya jirani … kila mmoja akitaka kushuhudia mtinangi kwa macho yake mwenyewe …

Nyomi … kungali mapema …

Mpaka mechi inafika mwisho … hakuna aliyemtambia mwenzake. Tiketi za elfu 3, 5, na 7 zilimalizika mapema tu …
Hii ni sehemu ya utalii wa ndani.

Advertisements

Written by simbadeo

March 6, 2011 at 11:28 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ee bwana hata sisi wa mwese tumejisikia kana kwamba yulikuwepo uwanjani licha ya kwamba tuliiona live ila asante kwa kutuburudisha kwa yaliyojili nje ya uwanja. Vipi kaka deo ile ishu yetu kuhusu write up yako imefikia wapi? GGOD DAY

  Like

  REUBEN

  March 13, 2011 at 4:58 pm

  • Asante Reuben. Bado naendelea kufuatilia. Nilishaandika na nafikiri tutapata majibu mpaka katikati ya mwezi ujao kama tumefaulu au la. Kulikuwa na maombi zaidi ya 700 kutoka duniani kote. Tukifaulu, utanisikia. Kila la kheri.

   Like

   simbadeo

   March 14, 2011 at 9:49 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: