simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mtikila … na siasa za Tanzania

with one comment

Ama kwa hakika huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania na kisha kuacha pembeni jina la Mchungaji Christopher Mtikila, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP). Yeye ni mmoja wa wanasiasa machachari na wenye ushawishi mkubwa linapokuja suala ka kujenga hoja.

Moja ya mambo ambayo kwayo atakumbukwa sana katika siasa za nchi hii ni pamoja na kulisimamia kidedea suala la mgombea binafsi. Suala hili lilileta gumzo kubwa hasa pale Mahakama ya Tanzania ilipoamua kwamba suala la kuruhusu au kutoruhusu raia kugombea nafasi mbalimbali za kuchaguliwa pasipo kupitia chama cha siasa lirejeshwe Bungeni.

Na jambo hilo tete linalogusa haki ya kikatiba ya Raia wa Tanzania (wenye umri unaozidi miaka 18 na walio na afya njema ya kiakili) bado lipo mezani. Mpaka sasa hatma yake bado haijaeleweka. Bila shaka majibu yatakuwa yamekwishapatikana kabla ya Uchaguzi Mkuu unaofuatia wa 2015. Tuendelee kufuatilia.

Advertisements

Written by simbadeo

March 4, 2011 at 2:25 pm

Posted in Siasa na jamii

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. kam siasa

    Like

    frankwini

    April 20, 2011 at 3:22 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: